Papa Yohane XXI

Papa Yohane XXI (121520 Mei 1277) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lisbon, Ureno[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião au Pedro Hispano.

Alimfuata Papa Adriano V akafuatwa na Papa Nikolasi III.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
John XXI
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.