Mt. Gregori II.

Papa Gregori II alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Mei 715 hadi kifo chake tarehe 11 Februari 731[1][2]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[3].

Alimfuata Papa Konstantino akafuatwa na Papa Gregori III.

Alimpinga kishujaa Kaisari Leo V kuhusu heshima kwa picha takatifu na kuimarisha mamlaka ya Papa katika Kanisa la Magharibi.

Ndiye aliyemtuma Bonifasi kuinjilisha Ujerumani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 11 Februari[4].

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Mann, Horace. "Pope St. Gregory II." The Catholic Encyclopedia Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 18 September 2017
  3. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Papa Gregori II
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.