Papa Yohane V.

Papa Yohane V alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Julai 685 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 686[1]. Alitokea Syria[2].

Alimfuata Papa Benedikto II akafuatwa na Papa Konon.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.