Papa Benedikto IV.

Papa Benedikto IV alikuwa Papa kuanzia Januari/Mei, 900 hadi kifo chake mwezi wa Julai 903[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Yohane IX akafuatwa na Papa Leo V.

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.