Papa Gregori V na ndugu yake Kaisari Otto III.

Papa Gregori V (takriban 972Februari/Machi 999) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Mei 996 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saksonia, Ujerumani[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno wa Carinthia.

Alimfuata Papa Yohane XV akafuatwa na Papa Silvester II.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.