Papa Anacletus (pia: Cletus, Kleti[1][2]) alikuwa Papa kuanzia takriban 80 hadi kifo chake takriban 92[3]. Alitokea Roma, Italia.
Alimfuata Papa Linus akafuatwa na Papa Klementi I.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na kutajwa katika Kanuni ya Kirumi.