Papa Leo V.

Papa Leo V alikuwa Papa kuanzia Julai 903 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 903[1]. Alitokea Ardea, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Benedikto IV akafuatwa na Papa Sergio III.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.