Mariolojia ni tawi la teolojia linalomchunguza Bikira Maria, mama wa Yesu, kadiri ya ufunuo wa Mungu[3].
Wakristo wa madhehebu mbalimbali wanafanya uchunguzi huo katika Biblia, lakini pengine pia katika mapokeo na kuhusiana na dogma za Kanisa juu ya Yesu Kristo, ukombozi, neema n.k. [4][5][6][7]