Sura ya Bikira Maria iliyomo katika joho.

Bikira Maria wa Guadalupe ni jina mojawapo la Bikira Maria lililotokana na kijiji cha Guadalupe katika nchi ya Meksiko, kilichopata umaarufu kutokana na njozi tano za Bikira Maria kwa Juan Diego mnamo Desemba 1531 zilizosababisha wananchi milioni nane kwa muda mfupi wajiunge na Ukristo.

Basilika lililojengwa mahali hapo linatembelewa na Wakatoliki wengi kuliko patakatifu pengine popote[1][2].

Kumbukumbu yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba[3].

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "World's Most-Visited Sacred Sites", Travel and Leisure, January 2012
  2. ""Shrine of Guadalupe Most Popular in the World", Zenit, June 13, 1999". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-07. Iliwekwa mnamo 2020-12-11.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo vikuu

[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo vingine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Bikira Maria wa Guadalupe
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bikira Maria wa Guadalupe kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.