Mto Mware ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki).

Unapitia Materuni halafu una maporomoko ya maji.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje