Maporomoko ya Maji Materuni ni moja ya maporomoko ya maji katika Mto Mware (kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania Kaskazini Mashariki). Yanapatikana katika kijiji cha Materuni pembezoni mwa hifadhi ya mlima Kilimanjaro.[1]