Mto Loasi ni mmojawapo kati ya mito ya mkoa wa Rukwa (Tanzania Magharibi).

Maji yake yanaelekea Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tanbihi

Viungo vya nje

Tazama pia