Mto Luamfi ni kati ya mito ya mkoa wa Rukwa (Tanzania Magharibi).

Maji yake yanaelekea Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tanbihi

Viungo vya nje

Tazama pia