Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Julai ni siku ya 208 ya mwaka (ya 209 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 157.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini saba wa Efeso, Pantaleo wa Nikomedia, Desiree wa Besancon, Papa Selestini I, Simeoni wa Mnarani, Orso wa Loches, Eklesio, Galatori, Antusa wa Eskihisar, Joji, Aureli na wenzao, Klementi wa Ohrid n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |