One Hundred and One Dalmatians | |
---|---|
Posta ya filamu | |
Imeongozwa na | Clyde Geronimi Hamilton Luske Wolfgang Reitherman |
Imetayarishwa na | Walt Disney |
Imetungwa na | Dodie Smith (novel "The One Hundred and One Dalmatians" Bill Peet (hadithi) |
Nyota | Rod Taylor Cate Bauer Betty Lou Gerson Ben Wright Lisa Davis Martha Wentworth |
Muziki na | George Bruns |
Imesambazwa na | Buena Vista Pictures |
Imetolewa tar. | 25 Januari 1961 |
Ina muda wa dk. | Dk. 79 |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | $4,000,000 USD (makisio) |
Mapato yote ya filamu | $215,880,014 |
Ikafuatiwa na | 101 Dalmatians II: Patch's London Adventure (2003) |
One Hundred and One Dalmatians (kwa Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 kutoka Marekani. Ilitayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii. Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney almaarufu kama Walt Disney Animated Classics. Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 25 Januari 1961.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Hundred and One Dalmatians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Walt Disney Animation Studios filamu |
|
---|---|
Pixar filamu |
|
Live-action films with animation |
|
Disneytoon Studios filamu |
|
Disney TV Animation filamu |
|
Other Disney units filamu |
|
Related lists |
|
|
Filamu zilizoongozwa na Hamilton Luske | |
---|---|
1940s | Pinocchio (1940) · The Reluctant Dragon (1941) · Make Mine Music (1946) · Fun and Fancy Free (1947) · Melody Time (1948) · So Dear to My Heart (1948) |
1950s | Cinderella (1950) · Alice in Wonderland (1951) · Peter Pan (1953) · Lady and the Tramp (1955) · Donald in Mathmagic Land (1959) |
1960s |