Frozen | |
---|---|
Posta ya filamu | |
Imeongozwa na |
|
Imetayarishwa na | Peter Del Vecho |
Imetungwa na |
|
Nyota |
|
Muziki na |
|
Sinematografi |
|
Imehaririwa na | Jeff Draheim |
Imesambazwa na | Walt Disney Studios Motion Pictures |
Imetolewa tar. | Novemba 19, 2013(El Capitan Theatre) Novemba 22, 2013 (Marekani) |
Ina muda wa dk. | Dk. 102[1] |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | $150 million[2][3] |
Mapato yote ya filamu | $1.280 billion[3] |
Frozen ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 2013 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures.[4] Hii ni filamu ya 53 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.
Filamu inahusu watoto wawili wa mfalme; mmoja anaitwa Anna na mwingine anaitwa Elsa. Elsa alikuwa ndiye mkubwa na alikuwa amezaliwa na uwezo wa kutowa barafu mikononi. Siku moja wazazi wao walisafiri na katika safari hiyo njiani kwa bahati mbaya walipata ajali. Ajali hiyo ilisababisha wakapotezamaisha,baada ya hapo mtoto wao mkubwa Elsa alikuwa malkia katika mji uitwao Dameski lakini ilipogundulika kuwa ananguvu za ajabu walimkataa na kutaka kumuua. Kujisaindia alikimbia na kwenda kuishi mbali ili asije akawadhuru kwa nguvuzake.
Mdogo wake ambaye ni Anna aliamua kumfuata dada yake ambaye ni Elsa kwenda naye katika mji unaoitwa Dameski akawe malkia wao akakubali alivyo jua kuzikontrolunguvuzake nakuenda pamoja naye. Mwisho wananchi walimkubalia akawa mtawala wao malikia Elsa.
((cite web))
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
((cite web))
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Walt Disney Animation Studios filamu |
|
---|---|
Pixar filamu |
|
Live-action films with animation |
|
Disneytoon Studios filamu |
|
Disney TV Animation filamu |
|
Other Disney units filamu |
|
Related lists |
|
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frozen (filamu ya 2013) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |