Monsters, Inc. ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2001. Filamu ilitayarishwa na Pixar Animation Studios, na kutolewa kwenye sinema tarehe 2 Novemba 2001 na Buena Vista Pictures Distribution.
Walt Disney Animation Studios filamu |
|
---|---|
Pixar filamu |
|
Live-action films with animation |
|
Disneytoon Studios filamu |
|
Disney TV Animation filamu |
|
Other Disney units filamu |
|
Related lists |
|
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Monsters, Inc. kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |