Makala hii inahusu filamu ya Walt Disney. Kwa kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (Unguja Kati).
Bambi | |
---|---|
Imeongozwa na | David Dodd Hand |
Imetayarishwa na | Walt Disney |
Imetungwa na | Larry Morey Perce Pearce Gustaf Tenggren |
Nyota | Bobby Stewart Donnie Dunagan Hardie Albright John Sutherland Paula Winslowe Peter Behn Tim Davis Sam Edwards Will Wright Cammie King Ann Gillis Fred Shields Stan Alexander Sterling Holloway |
Imesambazwa na | RKO Radio Pictures |
Ina muda wa dk. | Dk. 70 |
Lugha | Kiingereza |
Mapato yote ya filamu | 267,447,150 |
Ikafuatiwa na | Bambi II (2006) |
Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na Walt Disney Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.
Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.