Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:30, 19 Desemba 2020 (UTC)
Habari ndugu Anuary Rajabu Hongera sana kwa jitihada zako za kuhariri katika Wikipedia ya Kiswahili, jaribu kupitia sana ukurasa wa mabadiliko ya karibuni ili kuweza kuona baadhi ya makala zako na namna zinavyoendelea kuboreshwa, na utumie maboresho hayo katika makala zako nyingine. Amani sana kwako. Idd ningaIdd ninga (majadiliano) 22:58, 23 Mei 2021 (UTC)
Ndugu naona tunaingiliana kwenye makala kuhusu Chamko ya volkeno. Sijamaliza bado. Ushauri ni: uangalie historia ya makala; kama imehaririwa dakika chache zilizopita, kuna uwezekano mhariri bado anaendelea.. Kwa hiyo heri kusibiri hadi kesho. Kipala (majadiliano) 20:05, 25 Mei 2021 (UTC)
Salamu Anuary Rajabu Unaweza kuangalia katika makala zako zenye majina ya watu na kuona baadhi ya mabadiliko hasa ya masahihisho ya jina, kwa kawaida unapoandika jina la mtu inafaa kabisa jina liandikwe kwa herufi kubwa badala ya ndogo, unaweza kuona namna majina ya makala zako yalivyobadilishwa, hongera kwa juhudi unazofanya, endelea kujifunza zaidi, Idd ninga (majadiliano)
Ndugu, uliondoa vigezo vya umaarufu, vyanz na futa kutoka ukurasa wa Melody Mbassa, bila maelezo yoyote. Hapa umeingilia katika kazi ya usimamizi wa wikipedia hii. Nimekuzuia sasa kwa siku 3, huwezi kuhariri kwa siku hizo. Unaweza kujieleza kwenye ukurasa huu hapa. Ukiweza kutaja sababu zinazoeleweka naweza kuondoa kizuizi.Kipala (majadiliano) 08:41, 28 Mei 2021 (UTC)
Naomba kusamehewa,nilikua sijui kuhusu hilo lakini kwa kuwa kiongozi wangu ameweza kunielekeza kuhusu hilo, sitoweza kufanya hivo tena kwani mie sio mjuzi sana katika uhariri wa makala. Hivo nimeweza kujifunza. Anuary Rajabu (majadiliano) 09:07, 28 Mei 2021 (UTC)
Hello, @Anuary Rajabu:! I wrote an article on Andrea Benetti, a well-known Italian artist https://en.wikipedia.org/wiki/Andrea_Benetti_(artist). I used the automatic translator to make a draft https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtumiaji:BarbaraLuciano13 . Could you help me correct the text and add the infobox with the photo at the beginning and the categories at the bottom? Unfortunately I don't know the language and I am not able to do it ... Thanks for what you can do, see you soon, --BarbaraLuciano13 (majadiliano) 09:11, 19 Juni 2021 (UTC)
Salamu Anuary, tazama katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Entisar_Elsaeed kuna sehemu umeandika kuwa Entisari ni mwanaharakati wa kutetea Wanawake, lakini katika makala hii ukasema kuwa Elsaeed na taasisi yake walilenga katika kuongeza unyanyasaji wa wanawake majumbani, nafikiri kuwa ulitaka kuandika kupunguza, sasa cha kufanya pitia makala yake ni kuifanyia marekebishom, tazama katika makala ya kiingereza nini kilichoandikwa,Amani sanaIdd ninga (majadiliano) 18:34, 9 Machi 2022 (UTC)
Anuary naona siku hizi unaleta michango mingi yenye thamani. Naona umeshika vizuri fomati ya wikipedia. Nakupa Hongera! Kipala (majadiliano) 07:59, 16 Machi 2022 (UTC)
Amani kwako ndugu, kuwa makini wakati unachagua jamii ya kuweka kwenye makala,acha kuunganisha jamii ya muziki na makala za mchezo wa Mpira wa miguu. Justine Msechu (majadiliano) 19:41, 14 Mei 2022 (UTC)
Please help translate to your language
Congratulations for winning a local prize in Feminism and Folklore 2022 writing competition. Thank you for your contribution and documenting your local folk culture on Wikipedia. Please fill in your preferences before 15th of June 2022 to receive your prize. Requesting you to fill this form before the deadline to avoid disappointments.
Feel free to contact us if you need any assistance or further queries.
Best wishes,
MediaWiki message delivery (majadiliano) 07:50, 22 Mei 2022 (UTC)
Dear User
The Google form to submit information of winners during the 2022 edition of Feminism and Folklore 2022 end on 10th of June 2022. Please be informed that you will loose your prize once the deadline for sending information ends. We humbly urge you to kindly fill the form using this link as soon as possible.
Feel free to contact us on mail or talkpage if you have any difficulties.
Thank you for understanding!
Regards
International Team
Feminism and Folklore 2022
MediaWiki message delivery (majadiliano) 12:38, 5 Juni 2022 (UTC)
Salamu Anuary. Ukichangia makala unafuata mabadiliko katika makala haya na kusoma majadiliano yake? Niliweka maoni yangu na swali kwenye Majadiliano:Mipira ya samaki (angalia hapo chini). Bado ninangoja jibu lako.
Mipira wa samaki ni tafsiri isiyofaa kwa "fish balls". Maana ya mpira kwanza ni "rubber", kwa hivyo ikiwa maana yake ni "ball" hiyo ball ni aina ya rubber au labda ya plastiki. Kwa ujumla, "food ball" ni tonge kwa Kiswahili, au kitonge ikiwa ni dogo. "Meat ball" ni kababu, kwa hivyo labda tutumie hii kwa "fish ball" pia. Mnapendelea neno gani? ChriKo (majadiliano) 06:00, 22 Juni 2022 (UTC)
Asante kwa kutekeleza masahihisho. Sasa mfano wa Alfred Dan Moussa. Umemweka kwa "Wanahabari wa Cote d'Ivoire" PIA "Watu wa Cote d'Ivoire". Hii ya pili ni bure. "Wanahabari wa Cote d'Ivoire" umeanzisha kama jamii mpya, sasa unahitaji kufungua ukurasa wake (bofya jina jekundu tu) na ndani yake unaandika (katika mabano mraba) "Watu wa Cote Cote d'Ivoire" halafu pia jamii husika ya wanahabari. Uitafute tu, utakuta jina tofauti kidogo "Jamii:Waandishi wa habari". Kipala (majadiliano) 20:52, 26 Julai 2022 (UTC)
Ndugu, hongera kwa juhudi zako. Ila unapotaka kuchangia ukurasa fulani, usianze na moja. Kwa mfano huo hapo juu ulikata viungo na maandishi mazuri. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:07, 31 Julai 2022 (UTC)
Habari nimeona umefanya kazi sana kuwakaribisha waliojiandikisha, asante sana!! Ila sasa naona umeanza kukaribisha pia URL. Sitaki kukuzuia, ukiwa nba muda mwingi endelea tu. Ila tu faida yake si kubwa sana. Maana wengi wanaingia kwa URL tofautitofauti zinazoweza kubadilika. Hapo ni sababu kwa kawaida hatuifanyi. Ila ni chaguo lako. 2003:CE:6730:1F01:2C97:DBF6:8B7:A19 12:47, 16 Agosti 2022 (UTC)
Habari, naona umeongeza jamii kwenye makala zilizokosa jamii za maana (zote zilipangwa chini ya "amani" pekee, ambayo haisiaidii kitu. Ila umeweka "mbegu za watu" ambayo haisaidii vilevile (ningependa kuifuta lakini ziko nyingi mno tayari, heri tuache kuitumia). Maana kusudi la jamii ni kuainisha makala na kupanga makala ambazo mada zinafanana.
Njia bora ni kuona kama makala iko kwenye enwiki na kuchagua jamii za huko; hii inahitaji muda kidogo maana unahitaji kupeleleza kwanza kama jamii iko kwa Kiswahili, halafu utaitumia, au unaanza jamii mpya. Kwa vyote tazama Msaada:Jamii. Kipala (majadiliano) 10:42, 20 Agosti 2022 (UTC)
Habari naona ulijitahidi kusahihisha makala kadhaa ambazo niliangalia baadaye na kuzipendekeza kwa ufutaji (k.v. Itifaki ya Mitandao ya Kijamii iliyosambazwa, Ufahamu wa mazingira. Ukiona matini ni vigumu nashukuru ukihakikisha kama ni tafsiri ya kompyuta. Wengine kama Mwambashi901 hawaonyeshi interwiki; mara nyingi ni rahisi kutambua makala ya enwiki waliyojaribu kutafsri, kwa kumwaga jina la makala katika google translate (maana huko walichukua jina). Mimi hutumia google translate kutafsiri sehemu ya kwanza kutoka enwiki kwenda sw, halafu nalinganisha kwenye ukurasa wa word pande zote kandokando (natumia jeswali).
Nikiona A) matini imepokelewa neno kwa neno kutoka google, na B) Kiswahili kina kasoro, makosa au hakieleweki, ninaamua kama naweza kuisahihisha (au kama ninapenda kutumia muda wangu kwa jambo hili) halafu C) ama ninasahihisha au D) ninabandika kigezo cha ((futa)) na kuandikisha makala katika orodha ya Wikipedia:Makala kwa ufutaji (kwa kubofya link yake), ambako mwingine ataiangalia na kuamua.
Kwa jumla uone Msaada:Tafsiri_ya_kompyuta. Nitashukuru ukiweza kusaidia kutambua makala zenye lugha na tafsiri mbaya. Tumepata idadi kubwa ya makala kupitia google translate na tokeo lake ni kweli hatari kwa ajili ya wikipedia hiyo. Kipala (majadiliano) 07:16, 8 Septemba 2022 (UTC)
Habari, asante kwa kusafisha dead links. Kwa jumla si vibaya tukichungulia kama hiyo link imehamishwa kabla ya kufuta tu. Wakati mwingine inasadia kutafuta kwa google jina la makala inayotajwa . ---- Pamoja na hayo je umeshapiga kura ukurasa wa Jumuiya? Kipala (majadiliano) 13:47, 9 Novemba 2022 (UTC)
Hello, if I may I will shift to Kiswahili. Ni kwamba asante kwa ukaribisho Mzuri kutoka juu na pia ya kuongeza asante hata kwa university wikimedians kwa kunipa nafasi ya kujiunga katika platform hii ya wikipedia... Niko ma swali, mona ni kwamba inakuaje kama nitahitaji kuweka picha na hio picha haipo kwenye platform yeyote ya wikipedia but only inapatikana kwenye mtandao mara nyingine kwenye tovuti kuu husina inayoshikiria hati miliki. Na pili nimeweza kuweka picha pamoja na taarifa kwa kiufupi kama inavoonekana kwenye makala za watu au makampuni. Ni hayo tu, Shukran sana na nitakua pamoja na nyie. Denis R. John 196.249.97.46 19:29, 27 Novemba 2022 (UTC)
Hi Anuary Rajabu,
You are receiving this notification because you have listed yourself as a volunteer for Wikimania 2023 either on Meta or on Wikimania wiki. We already have a few pages related to Wikimania 2023 available for translation on Wikimania wiki. Your help with translating these pages in your languages would be highly appreciated. Currently the following pages are available for translation:
If you do not want to reiceive further notifications about pages related to Wikimania 2023, which are available for translation, you may remove your name from this list.
Thanks for your help! --Ameisenigel (talk)
This message was delivered through [[<tvar name="mass-delivery">Special:MyLanguage/Global message delivery</tvar>|Global message delivery]] --MediaWiki message delivery (majadiliano) 14:14, 28 Desemba 2022 (UTC)
Hi Anuary Rajabu,
You are receiving this notification because you have listed yourself as a volunteer for Wikimania 2023 either on Meta or on Wikimania wiki or because you have subscribed on Meta. We already have a few pages related to Wikimania 2023 available for translation on Wikimania wiki. Your help with translating the following pages in your languages would be highly appreciated:
If you do not want to reiceive further notifications about pages related to Wikimania 2023, which are available for translation, you may remove your name from this list.
Thanks for your help! --Ameisenigel (talk)
This message was delivered through Global message delivery --MediaWiki message delivery (majadiliano) 14:50, 22 Januari 2023 (UTC)
Hi Anuary Rajabu,
You are receiving this notification because you have listed yourself as a volunteer for Wikimania 2023 either on Meta or on Wikimania wiki or because you have subscribed on Meta. Your help with translating the following pages on Wikimania wiki in your languages would be highly appreciated:
If you do not want to reiceive further notifications about pages related to Wikimania 2023, which are available for translation, you may remove your name from this list.
Thanks for your help! --Ameisenigel (talk)
This message was delivered through Global message delivery --MediaWiki message delivery (majadiliano) 09:40, 4 Machi 2023 (UTC)
Ndugu nmeona pitio lako katika makala hii https://sw.wikipedia.org/wiki/Analog_Pussy,na ningependa kujua je kundi la muziki lenye kufanya kazi za muziki sindo kundi la wanamuziki?,ningependa kujua juu ya hilo ili makosa kama hayo yasijirudie. Amami sana Husseyn Issa (majadiliano) 19:33, 14 Aprili 2023 (UTC)
Please help translate to your language
Congratulations on your remarkable achievement of winning a local prize in the Feminism and Folklore 2023 writing competition! We greatly appreciate your valuable contribution and the effort you put into documenting your local Folk culture and Women on Wikipedia. To ensure you receive your prize, please take a moment to complete the preferences form before the 1st of July 2023. You can access the form by clicking here. We kindly request you to submit the form before the deadline to avoid any potential disappointments.
If you have any questions or require further assistance, please do not hesitate to contact us via talkpage or Email. We are more than happy to help.
Best wishes,
--Tiven2240 (majadiliano) 13:30, 10 Juni 2023 (UTC)
(Lire ce message en français); (Ver este mensaje en español); (Angalia ujumbe huu kwa Kiswahili); (إقرأ هذه الرسالة بالعربي) Please help translate to your language .
The Campaigns team at the Wikimedia Foundation has some updates to share with you, which are:
We invite you to attend our upcoming community office hours to learn about organizer tools, including the Event registration tool (which has new and upcoming features). The office hours are on the following dates, and you can join one or both of them:
We have launched a new project: Event Discovery. This project aims to make it easier for editors to learn about campaign events. We need your help to understand how you would like to discover events on the wikis, so that we can create a useful solution. Please share your feedback on our project talk page.
MediaWiki message delivery (talk) 19:54, 24 Septemba 2023 (UTC)
You are receiving this message because you subscribed to this list