Nyaraka |
---|
Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: Fransisko wa Asizi (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-[[it:Fransisko of Asizi]] (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-Fransisko wa Asizi. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--Mwanaharakati 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)
Kuna kitu nimesahau kukueleza. Kuweka jamii au category katika makala, mfano: [[Category:Watakatifu wa Italia]] au [[Category:Watakatifu]] na nyingine ya mwaka aliozaliwa -unaweka mabano kama hayo kisha unaadika (Waliozaliwa 19 na...) kama kafa unaandika Waliofariki (mwaka aliokufa). Natumai utakuwa umeelewa!!--Mwanaharakati 05:20, 7 Januari 2008 (UTC)
Hello Riccardo. I've seen in article's history (Tafsiri ya Vishazi na Virai ...) that you removed the image that goes with the article. I thought it's a good Wikipedia practice to communicate with you to inquire for the reason. Dee Soulza (majadiliano) 18:03, 8 Juni 2024 (UTC)
Hi Ricardo! helped me to add this Linguistic map of the Sumbawa language to Wikipedia English for the Sumbawa language thanks.
140.213.127.134 16:51, 15 Juni 2024 (UTC)
Why don't you yourself add it? I see there a editing war... Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:21, 16 Juni 2024 (UTC)
Ndugu Riccardo Riccioni,
Unadhani una muda wa kupitia makala za msingi? Pengine ukatafsiri vichwa vya makala? Nitaangalia namna ya kujaza makala hayo. Lakini nitahakikisha yanakuwemo humu. Unisamehe sana kwa usumbufu. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:59, 20 Juni 2024 (UTC)
Ndugu Riccardo,
Kama umetambua hivi sasa majadiliano yako yanaonekana kiduchu sana. Nimeyahifadhi katika nyaraka zako kwa vile ni muhimu sana ziwepo. Pia unisamehe kwa kuja nyumbani na kuvunja vitu pasipo-adabu! Muddyb Mwanaharakati Longa 07:43, 23 Juni 2024 (UTC)
No problem! Tuko pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC)
Ndugu Riccardo,
Kuna pendekezo hapa. Naomba upige kura; https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi#Pendekezo_la_kuondoa_WAKABIDHI_wasio_hai
Amani kwako. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:11, 8 Julai 2024 (UTC)