Mfano wa anuani ya mtandao.

URL (kifupi cha Uniform Resource Locator; pia: anuani ya mtandao) ni marejeleo yanayoonyesha pahali pa rasilimali ya mtandao.

Marejeo