Kanoni ni mji wa Mkoa wa Kati wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Gomba.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kanoni, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |