Kamuli ni mji katika Mkoa wa Mashariki wa Uganda. Ni kituo kikuu cha manispaa, kiutawala, na kibiashara cha Wilaya ya Kamuli, na makao makuu ya wilaya iko hapo. Wilaya hiyo imepewa jina la mji huo. [1]
Kamuli iko umbali wa kilomita 63, kwa njia ya barabara kaskazini mwa Jinja.
==Marejeo==
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kamuli, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |