Mahali pa Buyende katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°39′01″N 33°10′13″E / 0.65028°N 33.17028°E / 0.65028; 33.17028

Buyende ni mji katika Mkoa wa Mashariki huko Uganda.

Ni eneo kuu la manispaa, utawala, na biashara kwa wilaya ya Buyende.[1]

Marejeo

  1. Watuwa Timbiti and Tom Gwebayanga (24 October 2013). Buyende: A Jungle Town Trying To Get On Its Feet.