Wadigo ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga. Pia wapo Kenya wanapoishi upande wa Kusini wa mji wa Mombasa. Huko Kenya huhesabiwa kati ya mijikenda. [1] Lugha yao ni Kidigo.

Tanbihi

  1. Bettina Ng’weno. “Inheriting Disputes: The Digo Negotiation of Meaning and Power through Land.” African Economic History, no. 25, 1997, pp. 59–77. JSTOR, https://doi.org/10.2307/3601879. Accessed 19 Aug. 2023.

Marejeo

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadigo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.