U-God | |
---|---|
U-God performing in Atlanta
| |
Maelezo ya awali | |
Pia anajulikana kama | Golden Arms, Lucky Hands, Universal God of Law, Baby U, Baby Huey, Four-Bar Killer, Ugodz-Illa |
Amezaliwa | 7 Oktoba 1970 |
Asili yake | Staten Island, New York City, New York, US |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1990–mpaka sasa |
Studio | Priority Records Free Agency Recordings |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan Hillside Scramblers |
Lamont Jody Hawkins (amezaliwa tar. 7 Oktoba 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la marapa la Wu-Tang Clan. Yeye amekuwa na kundi hilo tangu kuanzishwa kwake, na unajulikana kwa kuwa na kina kirefu, yaani, kwa staili yake ya kuimba kama anasinzia na kuweza kuibadili kuwa ya kigumu halafu ya laini. Huyu huenda akawa mwanachama mwenye daraja la chini sana kundini.
Hawkins alizaliwa mjini Brownsville, Brooklyn, New York. Lakini alihamia mjini Staten Island akiwa bado bwana mdogo. Awali alikuwa mpiga biti wa mwanachama wa Clan, Cappadonna, vilevile kuwa baadaye rafiki kubwa wa wanachama wenzi wa kundini, Method Man, Inspectah Deck, na Raekwon. Kabla ya kujiunga na kundi, U-God alivutiwa sana na rap ya Cappadonna. Baadaye kidogo akaja kuwa rafiki wa karibu wa RZA na Ghostface, na akaanza kupasuka kundini akitumia jina la Golden Arms, ambalo linatoka na filamu ya Kung-Fu ya The Kid with the Golden Arm. Baadaye akabadili jina lake na kujiita U-God.[1] U-God has also stated that he has been diagnosed with schizophrenia.[2]
Mwaka | Jina | Chati[3][4] | Matunukio ya RIAA[5] | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. Hot 100 | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
1999 | Golden Arms Redemption
|
58 | 15 | Gold | |
2005 | Mr. Xcitement
|
- | - | - | |
2009 | Dopium
|
- | 93 | - |
RZA · GZA · Method Man · Raekwon · Ghostface Killah · Inspectah Deck · Masta Killa · U-God · Cappadonna Ol' Dirty Bastard (amefariki) | |
Studio albamu | Enter the Wu-Tang (36 Chambers) · Wu-Tang Forever · The W · Iron Flag · 8 Diagrams · A Better Tomorrow |
Single | "Protect Ya Neck" · "Method Man" · "Da Mystery of Chessboxin'" · "C.R.E.A.M." · "Can It Be All So Simple" · "Wu-Tang Clan Ain't Nuthing ta F' Wit" · "Triumph" · "It's Yourz" · "Protect Ya Neck (The Jump Off)" · "Gravel Pit" · "Careful (Click, Click)" · "Uzi (Pinky Ring)" · "Back in the Game" · "Rules" · "The Heart Gently Weeps" · "Take It Back" |
Kompilesheni | The Swarm · Wu-Chronicles · Wu-Chronicles, Chapter 2 · The Sting · Disciples of the 36 Chambers · Legend of the Wu-Tang Clan · Wu-Tang Meets the Indie Culture · Mathematics Presents Wu-Tang Clan & Friends Unreleased · Wu-Tang Chamber Music |
Makala zinazohusiana | Diskografia |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu U-God kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |