GZA the Genius | |
---|---|
GZA akitumbuiza kwenye tamasha la hip hop la Paid Dues
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Gary Grice |
Asili yake | Brooklyn, New York |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mwanamashairi |
Miaka ya kazi | 1983 - hadi leo |
Studio | Cold Chillin' Records Loud Records Geffen Records MCA Records Angeles Records Babygrande Records |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan |
Gary Grice (anafahamika kwa jina lake la kisanii GZA na The Genius; amezaliwa 22 Agosti, 1966) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Pia anajulikana kuwa mwanachama mwanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop za kigumu la Wu-Tang Clan na kujumuika nao kwenye albamu kadhaa - na baadaye kuja kama msanii wa kujitegemea na kupata mafanikio kibao.
Mwaka | Jina | Nafasi za Chati[1][2] | RIAA certifications[3] | ||
---|---|---|---|---|---|
Billboard 200 | Top R&B/Hip-Hop Albums | Top Rap Albums | |||
1991 | Words from the Genius
|
- | - | - | |
1995 | Liquid Swords | 9 | 2 | - | Platinum |
1999 | Beneath the Surface | 9 | 1 | 1 | Gold |
2002 | Legend of the Liquid Sword
|
75 | 21 | 8 | |
2005 | Grandmasters (akiwa na DJ Muggs) | 180 | 69 | 13 | |
2007 | GrandMasters Remix Album (akiwa na DJ Muggs)
|
- | - | - | |
2008 | Pro Tools | 52 | 13 | 28,500+[4] |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu GZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |