Sagio lilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Sagio la Warangi ni aina ya kifaa kilichotengezwa kutokana na mawe. Kwa Kirangi huitwa "lwaala". Sagio lilitumika kwa kusagia nafaka ili kupata unga. Sagio la asili lilikuwa la mviringo.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sagio la Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.