Ngoma ya Warangi ilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Ngoma ya Warangi ni aina ya ngoma ilitengenezwa kwa ngozi ya mnyama wa porini hasa dikidiki. Kwa Kirangi huitwa "ntangasa". Ngoma hiyo hutumika wakati wa sherehe kama harusi na kadhalika.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngoma ya Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.