Kinu kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Kinu cha Warangi ni aina ya chombo ambacho hutengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "kʉnyu". Kinu hutumika kwa kutwangia nafaka ili kuondoa makapi, maganda na kadhalika.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinu cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.