Mto Selian ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania Kaskazini).

Unaanzia katika mlima Meru na kupita karibu na mji wa Arusha.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje