Mto Mlomboje ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia Ruaha Mkuu na mto Rufiji.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]