Mto Mgogo ni kati ya mito ya mkoa wa Shinyanga (Tanzania Kaskazini-Magharibi).

Maji yake yanaelekea mto Nile na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje