Mto Mbahwa ni kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia ziwa Nyasa na mto Zambezi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje