Mto Manonga (pia: "Manyonga") ni mto wa mkoa wa Singida (Tanzania ya kati) unaotiririkia ziwa Kitangiri, isipokuwa miezi Juni hadi Novemba ambapo huwa umekauka kabisa.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje