Mto Likuyu ni jina la miwili kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi, ya mmoja kupitia mto Ruvuma na ya mwingine kupitia mto Rufiji.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje