Mto Kigosi ni kati ya mito ya mkoa wa Shinyanga (Tanzania Kaskazini-Magharibi).

Maji yake yanaelekea ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje