Mto Chona ni kati ya mito ya mkoa wa Tabora (Tanzania Magharibi). Ni tawimto la mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje