Bendera ya Burkina Faso ina milia miwili ya kulala ya nyekundu na ya kijani. Katikati iko nyota ya pembetano ya rangi njano.
Hizi rangi za nyekundu-kijani-njano ni rangi za Umoja wa Afrika.
Bendera hii ilianzishwa rasmi Agosti 1984.
Kabla ya tarehe hii Burkina Faso ilitumia bendera ya zamani iliyoanzishwa 1960 wakati wa uhuru wa "Volta ya Juu".
Nchi huru | Jamhuri ya Afrika ya Kati · Afrika Kusini · Algeria · Angola · Benin · Botswana · Burkina Faso · Burundi · Cabo Verde · Chad · Cote d'Ivoire · Eritrea · Eswatini · Ethiopia · Gabon · Gambia · Ghana · Guinea · Guinea-Bissau · Guinea ya Ikweta · Jibuti · Kamerun · Kenya · Komori · Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo · Jamhuri ya Kongo · Lesotho · Liberia · Libya · Madagaska · Malawi · Mali · Mauritania · Misri1 · Morisi · Moroko · Msumbiji · Namibia · Niger · Nigeria · Rwanda · São Tomé na Príncipe · Senegal · Shelisheli · Sierra Leone · Somalia · Sudan · Sudan Kusini · Tanzania · Togo · Tunisia · Uganda · Zambia · Zimbabwe |
---|---|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi |
Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine | Visiwa vya Kanari / Ceuta / Melilla (Hispania) · Madeira (Ureno) · Mayotte / Réunion (Ufaransa) · Saint Helena (Ufalme wa Muungano) · Zanzibar (Tanzania) |