Mifano
  • 'Yote yamemwagika
  • Yeyote aje
  • Wenye maji umepasuka
  • Mwenyewe amehama
  • Nyingine imejengwa

Viwakilishi vya pekee ni viwakilishi ambavyo hubainisha nomino ambayo hutajwa kwa kutumia viambishi vya -ote, -o-ote, -enye, -enyewe, na -ingine. Viwakilishi hivi huitwa vya pekee kwa sababu kila kimoja hutoa taarifa tofauti (ya peke yake) na chenzake. Kimsingi mizizi yake ipo mitano.

Mchangunuo wa mizizi

[hariri | hariri chanzo]

(i) -ote

[hariri | hariri chanzo]

Maana hasa ni hali ya "kutokubaki na kitu" ukiwa mazungumzoni.

Mifano

(ii) -o-ote

[hariri | hariri chanzo]

Maana hasa ni hali ya kutokuchagua au "pasipo uchaguzi".

Mifano

(iii) -enye

[hariri | hariri chanzo]

Maana hasa ni hali ya "umiliki". Hudhihirisha dhana ya kuwa na, umilikaji wa mali, tabia, hali na cheo.

Mifano

(iv) -enyewe

[hariri | hariri chanzo]

Maana hasa ni hali ya "msisitizo".

Mifano

(v) -ingine

[hariri | hariri chanzo]

Maana hasa ni hali ya "nyongeza".

Mifano

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya pekee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.