Mifano
  • Jacqueline ataolewa Disemba
  • Jana tumevamiwa na vibaka
  • Ashura hapendi kula wakati wa usiku


Vielezi vya wakati (alama yake ya kiisimu ni: E) ni maneno yanayofafanua kielezi kwa kujulisha wakati ambao kitenzi hicho kinatendeka/kimetendeka.

Uchambuzi

[hariri | hariri chanzo]

Vielezi vya wakati vinaweza kuwa vya:

Mifano

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vielezi vya wakati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.