Mifano
  • Nyumba yangu imebomoka
  • Mtoto wetu amepotea
  • Mtoto wenu amepotea
  • Mtoto wao amepotea

*Maneno kama -ake, -ako, -angu, -ao na -etu huitwa pia vivumishi vimilikish.

Vivumishi vya kumiliki ni maneno yanayotoa taarifa ya kujulisha umiliki wa nomino. Maneno hayo hujulisha kuwa nomino hiyo iliyotajwa ni mali ya nani.

Mchanganuo

[hariri | hariri chanzo]

Mashina ya vivumishi vya kumiliki yanajikita katika nafsi:

Nafsi Umoja Wingi
I -angu -etu
II -ako -enu
III -ake -ao
Mifano

Nafsi ya kwanza:

Nafsi ya pili:

Nafsi ya tatu:

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya kumiliki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.