![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Hatay nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediterranea |
Eneo: | 5,403 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,386,224 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 31 |
Kodi ya eneo: | 0(({kodi_ya_eneo))} |
Tovuti ya Gavana | http://www.hatay.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/hatay |
Hatay ni mkoa uliopo kusini mwa nchi ya Uturuki, katika pwani ya Mediteranea. Kwa upande wa kusini na mashariki mwa mkoa huu, unapakana na Syria. Mkoa unawakazi wapatao 1,386,224. Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,403.
Mkoa wa Hatay umegawanyika katika wilaya 12 (wilaya kubwa zimewekewa kukooza):
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Hatay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |