Mkoa wa Batman | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Batman nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 4694 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 518,020 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 72 |
Kodi ya eneo: | 0488 |
Tovuti ya Gavana | http://www.batman.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/batman |
Batman (kifupi cha milima ya Bati Raman) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao unajulikana sana kwa kuwa na Wakurdi wengi sana[1][2]. Upo mjini kusini-mashariki mwa Anatolia. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 500,000.
Mkoa wa Batman umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Batman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |