Giresun (Kigiriki: Κερασούντα, Pharnacia, Choerades) ni jina la mji mkuu wa Mkoa wa Giresun katika kaskazini-mashariki ya Ukanda wa Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Takriban 175 km kutoka magharibi mwa jiji la Trabzon. Mji una wakazi wapatao 90,000.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Giresun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |