Wyclef Jean | |
---|---|
Wyclef Jean akitumbuiza mnamo 2008
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Neluset Wyclef Jean |
Pia anajulikana kama | Wyclef |
Amezaliwa | 17 Oktoba 1972 Croix-des-Bouquets, Haiti |
Asili yake | Newark, New Jersey, United States |
Aina ya muziki | Hip hop, reggae, kompa, R&B, Muziki wa asili |
Kazi yake | Mwanamuziki, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwigizaji |
Ala | Sauti, gitaa, piano, ngoma |
Miaka ya kazi | 1987–hadi leo |
Studio | Ruffhouse, Columbia, J, Koch |
Ame/Wameshirikiana na | The Fugees |
Tovuti | www.wyclef.com |
Nelust Wyclef Jean (amezaliwa tar. 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kiamerika. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.
Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe[1]. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.
Albamu zao | |
---|---|
Albamu za Kompilesheni | |
Single zao | "Boof Baf" · "Nappy Heads" · "Vocab" ·"Fu-Gee-La" · "Killing Me Softly" · "Ready or Not" · "No Woman, No Cry" · "Rumble in the Jungle" · "Take It Easy" |