Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume | |||
---|---|---|---|
IATA: ZNZ – ICAO: HTZA – WMO: 63870 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Mapinduzi Zanzibar | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar | ||
Mahali | Unguja, Zanzibar | ||
Kitovu cha | Zanair | ||
Mwinuko Juu ya UB |
54 ft / 16 m | ||
Anwani ya kijiografia | 06°13′20″S 39°13′30″E / 6.22222°S 39.22500°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
18/36 | 3,007 | 9 865 | Lami |
Takwimu (2005) | |||
Idadi ya abiria | 418,814 | ||
Harakati za ndege | 14,302 | ||
Tani za mizigo | 566 |
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (IATA: ZNZ, ICAO: HTZA) ni kiwanja cha ndege cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Tanzania. Ilijulikana pia kama Uwanja wa ndege wa Kisauni na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.
Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
1Time | Johannesburg |
Air Uganda | Entebbe, Juba, Nairobi |
Bankair | Arusha, Dar es Salaam, Pemba |
Coastal Aviation | Dar es Salaam |
Condor | Frankfurt |
Ethiopian Airlines | Addis Ababa |
Fly540 | Mombasa, Nairobi |
Jetairfly | Brussels, Mombasa |
Kenya Airways | Nairobi |
Neos | Milan-Malpensa |
Precision Air | Dar es Salaam, Mombasa, Nairobi |
ZanAir | Arusha, Dar es Salaam, Pemba |
Kimataifa | |
---|---|
Kikanda | |
Daraja la III |