Uwanja wa ndege wa Dodoma

Uwanja wa ndege wa Dodoma ni kiwanja cha ndege kinachohudumia jiji la Dodoma, mji mkuu wa Tanzania.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]