Msikiti mjini Zomba.
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Malawi ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo.

Karibia Waislamu wote wa Malawi ni wafuasi wa dhehebu la Sunni.[1]Japokuwa ni vigumu kukadiria,[2] kwa mujibu wa CIA Factbook, mnamo mwaka wa 2008 karibia asimilia 12.8 ya idadi ya wakazi nchini humo ni Waislamu;[3] kiasi kidogo kama hicho kimekataliwa na jumuia za Kiislamu nchini humo,[4] ambao wamelalamikia ya kwamba kiasi halisi ni asilimia 30-35 (ambacho kilielezewa kama "fikra za kujitakia").[5]

Kwa mujibu wa Mradi wa Dini wa Malawi[6] unaoendeshwa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania, mnamo 2010 makadirio ya idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 25, imetazamiwa hasa katika maeneo ya Mkoa wa Kusini.[7]

Tazama pia

Tanbihi

  1. Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (illustrated ed.). Mzuni Press. pp. 180–1. ISBN 9789990802498. 
  2. Arne S. Steinforth (2009). Troubled Minds: On the Cultural Construction of Mental Disorder and Normality in Southern Malawi. Peter Lang. p. 79. ISBN 9783631587171. 
  3. CIA statistics. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2016-05-12.
  4. Owen J. M. Kalinga (2012). Historical Dictionary of Malawi (revised ed.). Rowman & Littlefield. p. 202. ISBN 9780810859616. 
  5. Klaus Fiedler (2015). Conflicted Power in Malawian Christianity: Essays Missionary and Evangelical from Malawi (illustrated ed.). Mzuni Press. p. 213. ISBN 9789990802498. 
  6. The Malawi Religion Project (MRP) | Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH). Malawi.pop.upenn.edu. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-06-12. Iliwekwa mnamo 31 December 2013.
  7. HANS-PETER KOHLER. Cohort Profile: The Malawi Longitudinal Study of Families and Health (MLSFH). Iliwekwa mnamo 2016-02-09.

Jisomee zaidi