Uislamu kwa nchi
Islam in Africa.

Uislamu unakadiriwa kuwa asilimia 15 (watu 750,000) ya jumla ya wakazi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, inaufanya kuwa kundi la pili la dini lenye wafuasi wengi baada ya Ukristo wenye asilimia 80.[1]

Marejeo

  1. Ministère du Plan et de l'Economie. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-12-10. Iliwekwa mnamo 2015-05-09.